Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Kuna member flani atakuja hapa kuandika mungu wabariki wazungu/mabeberu
Sent from Tapatalk
Limeshapita tayari na inawauma kichizi walidhani tutapuputika kama Newyork na Italy tena walitabiri lakini nigga mbishi sanaNa hili pia litapita. Mungu wetu wa mbinguni atatuvusha salama
AminaLimeshapita tayari na inawauma kichizi walidhani tutapuputika kama Newyork na Italy tena walitabiri lakini nigga mbishi sana
Ameshiba ugali wa shemeji yake mume wa dada yake anajiona bonge la mjanja[emoji3][emoji16][emoji2960]umekaa kwenye sofa na rimote roho inakuuma kutosikia vifo kwa wingi wala lockdown.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo basi lengo la walioileta dini zimetimia kwa waafrica.Ni kweli mkuu Afrika dini tumeletewa tu lakin waislam na wakristo wa ukweli wamebaki afrika tu waarabu wamebaki na utamaduni tu wa kiislamu wazungu wameukana kabisa uo ukristo kama huamin fanya simple research utajua
Mungu syo deus sisi ni ngoma ngumu kunamuda wanatamani kuwa sisi alaf sisi hatujipendiWalitabiri wiki tatu zilizopita ikifika pasaka waafrika weusi watapuputika kama Nzi kwaugonjwa wa Corona na walikuwa wanasubiri kwa hamu sana itokee. Hadi jana walishangaa masela bado tunadunda tuu licha ya kujisaidia porini na vichakani na IQ zetu mbovu zenye Mushkheli.
Kuna kahusuda fulan wanayo hawa watu. Sasa hivi wamehamisha data zao kwa black Americans kujifariji eti wanakufa kwa wingi wakati wao ndio wanapuputika. Kwasababu data zinaonyesha vifo vya coronavirus Marekani Black Americans na minority wengine ni 55% na mizungu ni 45% kwa hiyo blacks pekee yao wanaokufa tuseme ni 25% ukimlinganisha na mizungu 45%.
Licha ya mapungufu yetu Mungu anazidi kuturehemu.
Unakuta chama cha Republican wanajisifia kumjua Yese siju anti arbition lakini wanafuta makusudi fungu la hela la social benefits na states handouts kisa zinawafaidisha kwa wingi Black America wakati hela yenyewe ni ndogo sana kwenye budget kama tone baharini na haidhuru chochote na kampuni zao zinaibia mafuta arabuni.
Democrats ndio hawana time na Yesu na kibaya wanaunga ushoga ila wanajali sana walala hoi. Kwa kila taifa siyo kila mtu anajiweza lazima serikali ipige watu jeki kwenye social benefits.
Waafrika weusi mababu zao wamefanya kazi na kujenga Marekani bila kulipwa wakati wautumwa kwa manyanyaso ni wakati wa vizazi vyao vya sasa wafurahie matunda ya mababu zao kwa kupumzika.
Mungu azidi kulinda ngozi nyeusi popote pale duniani.
Sasa hivi mwenye kinga imara ya mwili ndiye mshindi kuliki mwenye hela
Watutabilie kufa wao wa kina Nani? Virusi hivi inaaminika vimetengenezwa marekani Sasa mundu Ana wa show jobWacha tuendelee tu kujifariji kwa huu ujinga na kejeli wakati lilikuwa ni angalizo muhimu kwetu.
Adui wa kutumaliza waafrika sio mzungu bali ni Corona, na sasa huyo adui tunaye mtaani anatutafuna taratibu.
NOTE:
Mpaka sasa kwa Marekani wengi waliokufa na wanaokufa ni waafrika kuliko wazungu.
Pia Mungu sio mbaguzi wa rangi, kama anaweza kutukinga sisi na Corona anaweza kuwakinga na wazungu pia.
Kwanini marekani corona iliingia lini mbna Canada hawafi kma USA? Jiulize wanalaaana haoKuna wanaodai Africa haijaathirika Sana sababu hili gonjwa lilichelewa kuingia ila tusubiri angalau huu mwezi wa 4 upite tutajua tuko kwenye hali gani.
Unasema?!!Licha ya mapungufu yetu Mungu anazidi kuturehemu.
Akili zako ndyo zpo ovyooooo unawaza ovyooooo sisi Ebola sisi,maralia sisi,ukimwi sisi mungu katupumzisha kwenye corona punguza akili za kitumwaHuyo Yesu mbona nyinyi wa afrika mmeanza kumjua wazungu walipo kuja huku Africa? Kwahiyo sasa hivi mnajiona mnajua zaidi kuliko wao? Kweli Africa ni ovyo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
NOTE: Waafrika hao ni wale wenye magonjwa kama kisukari na shinikizo la damu. Hawa wengi wana matatizo ya kiafya kwasababu ya maisha wanayoishi na ukandamizwaji wanaofanyiwa.NOTE:
Mpaka sasa kwa Marekani wengi waliokufa na wanaokufa ni waafrika kuliko wazungu.
Pia Mungu sio mbaguzi wa rangi, kama anaweza kutukinga sisi na Corona anaweza kuwakinga na wazungu pia.
Hata vikiongezeka tutachagua wenyewe tufe kwa njaa au corona binafsi bila nife kwa njaaaumekaa kwenye sofa na rimote roho inakuuma kutosikia vifo kwa wingi wala lockdown.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamesogeza siku mbele wanasema wiki mbili zijazo.Limeshapita tayari na inawauma kichizi walidhani tutapuputika kama Newyork na Italy tena walitabiri lakini nigga mbishi sana
Weye kama u- mwafrica pure lazima ukifa nikuweke kwenye Jumba la Makumbusho, pale kijijini Mwenge!! lkn sasa hii ni jf haiwezekani, hata sijui kwa nini nawaza na kupenda kukufanyia hivi!! ila unastahili kufanyiwa hivo sana tu!!Wacha tuendelee tu kujifariji kwa huu ujinga na kejeli wakati lilikuwa ni angalizo muhimu kwetu.
Adui wa kutumaliza waafrika sio mzungu bali ni Corona, na sasa huyo adui tunaye mtaani anatutafuna taratibu.
NOTE:
Mpaka sasa kwa Marekani wengi waliokufa na wanaokufa ni waafrika kuliko wazungu.
Pia Mungu sio mbaguzi wa rangi, kama anaweza kutukinga sisi na Corona anaweza kuwakinga na wazungu pia.