Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Serikali bila kushirikisha wadau wa kisiasa na kiuchumi, imeamua kichwa kichwa kuingia kataba ambao sasa kiukweli unatishia mustakabalai wa nchi.
Serikali
Je, suala lilijadiliwa kwa kupata maelekezo kisiasa?
Je, serikali iliwakutanisha wadau wa kiuchumi kupata ushauri?
Je, serikali ilishirikisha vongozi wengine serikalini kama Mwanasheria Mkuu?
Je. serikali ilivihusisha vyombo vya Ulinzi na Usalama
Mbaya zaidi ,
Je, Serikali iliwahusisha vipi wananchi katika kuingia mkataba?
Je, muhimili mwingine wa Bunge ulihusihwa hata kwakujulishwa tu kuwa serikali inaenda kuingia mkataba ambao sasa ni tata?
Haya maswali mtu yeyote atajiuliza, na kujiuliza,
Je, mpikaji wa huo mkataba ni nani haswa?
Haya maswali lazima aanze kuyajibu mtuhumiwa wa kwanza. Profesa Mbarawa.