njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Miaka kama minne au mitatu nyuma mzee Hamis kilomoni alipinga kwa nguvu zote simba kuwekwa chini ya mikono ya watu wachache na ma genius kama sisi tukamuunga sana mkono matokeo yake mzee huyo shujaa aliwekwa ndani na kufukuzwa kundini.
Ona sasa leo simba iko chini ya ma chuplichupli kanjibai haifanyi lolote la maana kazi kuishia tu robo fainali huko CAf enzi ikiwa chini ya wanyonge wanaochangishana ilifika nusu fainali 1974 klabu bingwa.
Mzee kilomoni alipata bahati ya kualikwa kwenye mkutano wa kupitisha bakuli wa yanga uliojulikana kama KUBWA KULIKO mwaka 2019 alipokelewa kwa mbwembwe akapetiwapetiwa mzee wa watu na umati uliokuwa una share views kama zake za kupinga mabadiliko ya kuweka team mikononi mwa wachache maana hizi teams ni za wananchi wanyonge
Fast foward 2022 ule umati umemgeuka kabisa WAMEIKABIDHI TEAM MIKONONI MWA KIKUNDI CHA WATU WASIOZIDI WANNE team iko chini ya wasomali na waarabu siyo ya wananchi tena.
Vision ya mzee kilomoni imekufa rasmi ni dhahiri tu walimchekea kinafiki siku ile.