Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Radiojambo Kenya,wamesema waliofariki wamefika 24,kukiwemo watoto 4.Duu kweli binadamu sio kitu
Mchana kweupe korongo linaonekana wazi haraka yanini
Imefikia 26 sasaRadiojambo Kenya,wamesema waliofariki wamefika 24,kukiwemo watoto 4.
Kwa sababu ambazo ni dhahiri, chombo cha habari au binadamu mwenye busara hawezi kuonyesha tukio lote mpaka mwisho. Kimaadili na pia kibinadamu siyo vizuri na haingii akilini. Hata kama ni mtu mwenye busara anarekodi tukio kama hilo, ataacha mara itakapofikia hatua kama hiyo.Mbona wanaonekana watu kukatiza hapo hapo basi liliposhindwa na hawaonyeshi kupelekwa na maji............imagine uzito wa basi na mtu, nilitarajia watu waliokatiza hapo nao wangekokotwa na maji, anyway RIP.
Dah wapumzike kwa amani
Tairi za gari zina upepo kwa hiyo gari inakuwz nyepesi sana kwenye maji.. ni kama boya hivi...Mbona wanaonekana watu kukatiza hapo hapo basi liliposhindwa na hawaonyeshi kupelekwa na maji............imagine uzito wa basi na mtu, nilitarajia watu waliokatiza hapo nao wangekokotwa na maji, anyway RIP.
Wamefika 32Imefikia 26 sasa
Chasis iliyokosa viwango! Barabara ya Lamu port hii!Mbona wanaonekana watu kukatiza hapo hapo basi liliposhindwa na hawaonyeshi kupelekwa na maji............imagine uzito wa basi na mtu, nilitarajia watu waliokatiza hapo nao wangekokotwa na maji, anyway RIP.
I can imagine, siyo kawaida......Hapo shetani alikuwa kazini katika ulimwengu wa giza very sad.