tehe tehe tehe mi tomasoTuprove kitu kwa kutumia milango ya fahamu, hapo nako bado tu wataka ushahidi tena?, kaz kaz!
Mwanzo ilikuwa hivyo mkuu, lakini siku hizi kuna wahuni wa vijiweni tele humu. Thanks to Ras Simba wanaweza sherehesha comments zao kwa maneno mawili matatu ya kiingereza!!Habari wana jukwaaa,
Ni matumaini yangu mu wazima , ni katika harakati za kuliendeleza jukwaa letu pendwa mbele, nadhani asilimia takribani mia tu wanaotumia jukwaa hili ni wasomi na watu wenye fani zao , suala linakuja pale mtu anapoleta uzi humu ili kuweza kupewa walau mwelekeo wa jambo husika , wasomi haohao na watalamu wa mambo mbalimbali anatoa comments ambayo hata mtoto wa primary hawezi toa, kwakweli hawezi toa, kwakweli inakera sana na inadhalilisha weledi wako.
Karibuni sana,
By
Dimaa.
Unauweza? Usije ukarusha ngumihutakagi utani?!
Msomi ni nani?Habari wana jukwaaa,
Ni matumaini yangu mu wazima , ni katika harakati za kuliendeleza jukwaa letu pendwa mbele, nadhani asilimia takribani mia tu wanaotumia jukwaa hili ni wasomi na watu wenye fani zao , suala linakuja pale mtu anapoleta uzi humu ili kuweza kupewa walau mwelekeo wa jambo husika , wasomi haohao na watalamu wa mambo mbalimbali anatoa comments ambayo hata mtoto wa primary hawezi toa, kwakweli hawezi toa, kwakweli inakera sana na inadhalilisha weledi wako.
Karibuni sana,
By
Dimaa.
Nadhani msomi inaifluence kubwa sana ya kuchambua mambo na kutengeneza hoja zenye mashikomkuu hii ni jamii we unachukulia serios mwenzio anaona haupo serious anaamua kuropoka.. wakati mwingine wewe ndiyo unatatizo unataka majibu unayofikiria wewe ndiyo maana unaona ya kiprimary.. halafu mkuu si kwamba mtu akiwa msomi kwama anauwezo wa kuchambua mambo yote ... labda kwenye field yake tu na si kwingine...
kingine hatufanani upeo mkuu wa kuona mambo
not all mkuu hasa wa sayansi ni ngumu sana kujenga hojaNadhani msomi inaifluence kubwa sana ya kuchambua mambo na kutengeneza hoja zenye mashiko