Inasikitisha wazungu wakulima wa amerika wawauwa simba wa bara la afrika ukisikiliza video utasikia ni simba wa Tanzania

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

Amazing: How Do American Hunters And Farmers Deal With Million Of Wild Boar And Lion By Guns.​

Baada ya Miaka 20 Tanzania kutakuwa hakuna Simba.Watalii Wakija sijuwi watakuja kuona kitu gani? hatari sana.

View:
 
Mkuu, Nina experience na uwindaji….
Mkuu usichofahamu ni Kuwa kila mwaka huwa kunatoka permit za kuwinda wanyama kadhaa. Na permit hiyo huwa inazingatia Idadi husika ya wanyama hao kwa mujibu wa sensa ya pori husika.
Wawindaji wote huwa wanatakiwa kuingia porini wakiwa wamefuatana na game rangers na baada ya mawindo huriport kwa office ambapo office hukagua kuona kuwa only wanyama waliopo kwenye kibali ndio waliowindwa

Kwa Maneno hayo, ondoa Shaka mkuu wanyama hawataisha maana mamlaka zetu zinasimamia taratibu za uwindaji endelevu
 
Lions (Simba) are sadly threatened by extinction according to various reports.
Simba ni miongoni mwa wanyawa waliopo katika hatari ya kutoweka by 2050. Kuwaweka wanyama kama simba kwenye utaratibu wa kuwindwa kama kipusa kwa lengo la kupata pesa zama hizi ni upuuzi wa kiwango cha lami cha nchi hii.
 
Bandari tu yenyewe imeenda kwa Dp world kipuuzi kabsa kisha mama akatundikwa picha yake( sura yake) kwelnye ule mnara mrefuu Dubai. Watu wakahoji gharama za kutundikwa pale.....chawa wakaja juu kutetea.....ooooh " hatujalipa hata shilingi ni bure tu" WAKATI KILE NI KITEGA UCHUMI CHAO KUTUNDIKWA PALE NI SHARTI ULIPE MAMILIONI YA DOLA. Matokeo yake sasa hivi Abdul mjukuu wa kizimkazi anaishi Dubai ( ni mmiliki) kwenye nyumba ya kifahari kabsa huku Lukasi Mwashambwa akipigania uteuzi kwa kazi ya kitetea upumbavu
 
Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,

Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
 
Mkuu, Nina experience na uwindaji….
Mkuu usichofahamu ni Kuwa kila mwaka huwa kunatoka permit za kuwinda wanyama kadhaa. Na permit hiyo huwa inazingatia Idadi husika ya wanyama hao kwa mujibu wa sensa ya pori husika.
Wawindaji wote huwa wanatakiwa kuingia porini wakiwa wamefuatana na game rangers na baada ya mawindo huriport kwa office ambapo office hukagua kuona kuwa only wanyama waliopo kwenye kibali ndio waliowindwa

Kwa Maneno hayo, ondoa Shaka mkuu wanyama hawataisha maana mamlaka zetu zinasimamia taratibu za uwindaji endelevu
Kwa nini wauwe simba tena kwa kujifurahisha tu kisa pesa au kuenjoy kuua???Kama ni pesa si tutafute vyanzo vingine vya mapato?Simba wenyewe wachache hawa...
Wawache nature ichukue mkondo wake...na nature imekuwa ikifanya hivyo for hundreds of years.Binafamu tu waharibifu sana
 
Mkuu, Simba Hana natural predator huko mwituni….wakiachwa tu itaanza kuwa tabu kwa wanyama wengine plus binadamu.
Hutakuwa na swala au nyumbu nk iwapo simba hawata-contro-liwa. Pia binadamu naye hatabaki salama.

Kwa waliozaliwa nyuma kidogo nadhani wanakumbuka nyakati zile RTD kila kwenye kipindi cha majira ilikuwa haikosekani habari ya Simba kula watu huko Mkuranga na Kibiti.

For hundreds of years pia ujue simba natural predator wake amekuwa ni binadamu.
 
Mkuu, Nina experience na uwindaji….
Mkuu usichofahamu ni Kuwa kila mwaka huwa kunatoka permit za kuwinda wanyama kadhaa. Na permit hiyo huwa inazingatia Idadi husika ya wanyama hao kwa mujibu wa sensa ya pori husika.
Wawindaji wote huwa wanatakiwa kuingia porini wakiwa wamefuatana na game rangers na baada ya mawindo huriport kwa office ambapo office hukagua kuona kuwa only wanyama waliopo kwenye kibali ndio waliowindwa

Kwa Maneno hayo, ondoa Shaka mkuu wanyama hawataisha maana mamlaka zetu zinasimamia taratibu za uwindaji endelevu
Uzi ufungwe hili ndio jibu...Nyi kama mnaona hao wanawinda bila maelekezo...Wewe nenda mikumi uue hata fisi ndio utajua serikali inalinda wanyama au hailindi.
 
Amazing: How Do American Hunters And Farmers Deal With Million Of Wild Boar And Lion By Guns.​

Baada ya Miaka 20 Tanzania kutakuwa hakuna Simba.Watalii Wakija sijuwi watakuja kuona kitu gani? hatari sana.

View:

Uwongo mtupu huu kuichafua nchi. Tanzania ndiyo nchi ya kwanza yenye simba wengi duniani. Ni kwamba nusu ya simba wote walio hai wanapatikana Tanzania. Tungekuwa tunawaua hovyo tusingekuwa na takwimu hiyo.

Watanzania muwe careful katika kutumika na Wakenya.

Screenshot_20240814_070814_Chrome.jpg
 
Kwa nini wauwe simba tena kwa kujifurahisha tu kisa pesa au kuenjoy kuua???Kama ni pesa si tutafute vyanzo vingine vya mapato?Simba wenyewe wachache hawa...
Wawache nature ichukue mkondo wake...na nature imekuwa ikifanya hivyo for hundreds of years.Binafamu tu waharibifu sana
Hujui kitu, soma kujifunza
 
Uwongo mtupu huu kuichafua nchi. Tanzania ndiyo nchi ya kwanza yenye simba wengi duniani. Ni kwamba nusu ya simba wote walio hai wanapatikana Tanzania. Tungekuwa tunawaua hovyo tusingekuwa na takwimu hiyo.

Watanzania muwe careful katika kutumika na Wakenya.

View attachment 3069403
Mkuu kwani ukiwa na wengi ndio huweI kuwaua?
 
Mkuu, Nina experience na uwindaji….
Mkuu usichofahamu ni Kuwa kila mwaka huwa kunatoka permit za kuwinda wanyama kadhaa. Na permit hiyo huwa inazingatia Idadi husika ya wanyama hao kwa mujibu wa sensa ya pori husika.
Wawindaji wote huwa wanatakiwa kuingia porini wakiwa wamefuatana na game rangers na baada ya mawindo huriport kwa office ambapo office hukagua kuona kuwa only wanyama waliopo kwenye kibali ndio waliowindwa

Kwa Maneno hayo, ondoa Shaka mkuu wanyama hawataisha maana mamlaka zetu zinasimamia taratibu za uwindaji endelevu
Asante Mkuu! Hofu ya wengi ni kutosahau taarifa za twiga kutoroshwa kupitia KIA kwenda Uraabuni.
 
Amazing: How Do American Hunters And Farmers Deal With Million Of Wild Boar And Lion By Guns.​

Baada ya Miaka 20 Tanzania kutakuwa hakuna Simba.Watalii Wakija sijuwi watakuja kuona kitu gani? hatari sana.

View:

Haya mambo yanafanyika tangu enzi ya Nyerere.

Hizo picha zimeungwanishwa kutoka kwenye mapori mengi na kwa miaka tofauti pengine.

Hii hutumika ku control population ya simba kuendana na uwezo wa pori (Carrying capacity). Kumbuka simba wanakula wanyama wengine.. Hivyowakiwa wengi sana watapunguza wanyama wengine na ndo maana unaona kuna kipindi wana vamia mifugo.

Haya mambo hufanyika kutaalamu. Takeyour time kujielimisha
 
Hili linahitaji professionals wa wildlife wakujibu. All in all soma post # 2 na namba 7 ya Kamanda Moshi amejibu.

Tusipende kupinga kila kitu kwa ajili ya kuinanga nchi yetu

Jambo hilo hilo lingefanyika Kenya wabongo wangesifia Kenya kwa jinsi inavyojitambua.
 
Back
Top Bottom