Subiri wanaume waje wakuchumbie, maana kwa muandiko huu inaelekea una kila sifa za kuitwa mama mwenye nyumba....[emoji13] [emoji13]Kama title inavojieleza, natafuta mtu atakae kuwa serious kene mahusiano nami ntapatia Yale mapenzi ya dhati kabisa....
Wasifu wangu........
Chuo mwaka wa pili
Mrefu futi 5.8,umri miaka 24
Maji ya kunde
Mwembamba wastani ,
Anaetafutwa
Awe na ya dhati mapenzi ,umri kuanzia miaka 18 up to 22 ,sura haizingatiw Sana, wala shep haizingatiw Sana ila awe na nyama nyama nyingi kidogo ya wastani tu.
Alie tayari aje pm ntamtumia na picha zangu pia... Nipo daresalam .......[emoji132]
Mwandiko upi mkuu? Lkn any way hawezi kosa mtu Kama wewe kati ya members wote.... No Kama changamoto nimeipokea lkn ili tu usinitoe kene reli ngoja tu nkushukuru kwa mchango wako [emoji35]Subiri wanaume waje wakuchumbie, maana kwa muandiko huu inaelekea una kila sifa za kuitwa mama mwenye nyumba....[emoji13] [emoji13]
Kwani nimekosea wapi..[emoji47] [emoji47]Mwandiko upi mkuu? Lkn any way hawezi kosa mtu Kama wewe kati ya members wote.... No Kama changamoto nimeipokea lkn ili tu usinitoe kene reli ngoja tu nkushukuru kwa mchango wako [emoji35]
Kwani nimekosea wapi..[emoji47] [emoji47]
Kwani kukusifia kama mama mrembo, nimekosea mkuu wangu...[emoji45] [emoji45]
Umekosea ndio sababu Mimi jinsia ya kiume.. Sasa huko unakoenda du.... Any way lkn mi pia sijazoea kutukana tena na mtu ambay simfahamu...... So thanks to all you are doing in this thread.... Am being humble my self and waiting for positive reply.....Kwani nimekosea wapi..[emoji47] [emoji47]
Kwani kukusifia kama mama mrembo, nimekosea mkuu wangu...[emoji45] [emoji45]
Samahani sana mkuu, sikua nimeitambua jinsia yako tafadhali.Umekosea ndio sababu Mimi jinsia ya kiume.. Sasa huko unakoenda du.... Any way lkn mi pia sijazoea kutukana tena na mtu ambay simfahamu...... So thanks to all you are doing in this thread.... Am being humble my self and waiting for positive reply.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Subiri wanaume waje wakuchumbie, maana kwa muandiko huu inaelekea una kila sifa za kuitwa mama mwenye nyumba....[emoji13] [emoji13]
wewe ni ke au meKama title inavojieleza, natafuta mtu atakae kuwa serious kene mahusiano nami ntapatia Yale mapenzi ya dhati kabisa....
Wasifu wangu........
Chuo mwaka wa pili
Mrefu futi 5.8,umri miaka 24
Maji ya kunde
Mwembamba wastani ,
Anaetafutwa
Awe na ya dhati mapenzi ,umri kuanzia miaka 18 up to 22 ,sura haizingatiw Sana, wala shep haizingatiw Sana ila awe na nyama nyama nyingi kidogo ya wastani tu.
Alie tayari aje pm ntamtumia na picha zangu pia... Nipo daresalam .......[emoji132]