Jaman naombeni mnisaidie school ambazo zina walimu na mazingira ya kusoma vizuri ya private O-level ila ada isizidi 1 million za Tz kuna dogo hapa tunataka kumuamisha mashule ya kata condition ni kuwa kama ipo Dar iwe dei kama mkoa out of Dar iwe Boarding school.