inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
Kwa hiyo bajeti, unatafuta kujuana na mafundi wote wa VITZHabari wadau,inatafutwa Vitz Second Generation(Wenyewe huita New Model)
Bajeti ni Mil 5.
1.Namba siyo ishu chombo iwe nzima.
2.Engine Capacity 1290 Cc
3.Rangi isiwe crqzy colour.Hata kama imepauka.hamna shida
For serious bizness DM me,photos will be appreciated.
Hiyo budget ndogo sana kwa sasa..Habari wadau,inatafutwa Vitz Second Generation(Wenyewe huita New Model)
Bajeti ni Mil 5.
1.Namba siyo ishu chombo iwe nzima.
2.Engine Capacity 1290 Cc
3.Rangi isiwe crqzy colour.Hata kama imepauka.hamna shida
For serious bizness DM me,photos will be appreciated.
Kulenga maana yake nn kaka.Hebu nifafanulie vizuriKwa hiyo bajeti yako, unapata Vits safi kabisa ya kulenga. Muhimu tu usiwe na haraka.
Nakazia atapata ila aste aste asiwe na paparaKwa hiyo bajeti yako, unapata Vits safi kabisa ya kulenga. Muhimu tu usiwe na haraka.
Hii ni lugha tu inayotumiwa na madalali wa magari, ikimaanisha kubahatisha kununua gari zuri, kwa bei nafuu.Kulenga maana yake nn kaka.Hebu nifafanulie vizuri