Salaams wana JF,
Inatakiwa Diesel tani 25,000 kwenda Mombasa katika muda mfupi iwezekanavyo, preferably yaliyo kwenye
high seas. Inaweza kuwa biashara endelevu.
Mwenye kuwanayo/fununu atoe bei na muda wa kuyafikisha Mombasa (delivery time).
Malipo ni kwa njia ya LC.
Rgds,
Edylux
Tanzania ndio maana haiendelei sasa wewe umepata tenda hata pakuyapata hupajui
Hizo meli zitakazokuwa high seas zinasubiri kuuza bila kuwa na order ?
Ndio maana Mataka kaiba ATC sasa na wewe chukua chake usepe tuu