Inatarajiwa kuwa watalii 10,000 kutoka jiji la Shangai China watakuja nchini mnano mwaka 2019

Inatarajiwa kuwa watalii 10,000 kutoka jiji la Shangai China watakuja nchini mnano mwaka 2019

Mathayo Fungo

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
319
Reaction score
511
Inatarajiwa kuwa watalii 10,000 kutoka jiji la Shangai China watakuja nchini mnano mwaka 2019 baada ya makubaliano yaliyofanywa na kampuni ya Touchroad International Group ya nchini humo na bodi ya utalii nchini (TTB).

IMG_20181113_101041.jpeg
IMG_20181113_101045.jpeg
IMG_20181113_101047.jpeg
 
nimeishi nchi zote za Africa Mashariki lakini sijawahi ona Mchina anakuja kwa ajiri ya Utalii................
 
Back
Top Bottom