Mathayo Fungo JF-Expert Member Joined Nov 13, 2018 Posts 319 Reaction score 511 Nov 13, 2018 #1 Inatarajiwa kuwa watalii 10,000 kutoka jiji la Shangai China watakuja nchini mnano mwaka 2019 baada ya makubaliano yaliyofanywa na kampuni ya Touchroad International Group ya nchini humo na bodi ya utalii nchini (TTB).
Inatarajiwa kuwa watalii 10,000 kutoka jiji la Shangai China watakuja nchini mnano mwaka 2019 baada ya makubaliano yaliyofanywa na kampuni ya Touchroad International Group ya nchini humo na bodi ya utalii nchini (TTB).
Niccolo Machiavelli JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,881 Reaction score 3,647 Nov 13, 2018 #2 nimeishi nchi zote za Africa Mashariki lakini sijawahi ona Mchina anakuja kwa ajiri ya Utalii................
nimeishi nchi zote za Africa Mashariki lakini sijawahi ona Mchina anakuja kwa ajiri ya Utalii................
Mathayo Fungo JF-Expert Member Joined Nov 13, 2018 Posts 319 Reaction score 511 Nov 13, 2018 Thread starter #3 Niccolo Machiavelli said: nimeishi nchi zote za Africa Mashariki lakini sijawahi ona Mchina anakuja kwa ajiri ya Utalii................ Click to expand... Basi mshukuru Mungu umeishi long enough kuona sasa kuwa mchina anakuja kwaajili ya utalii nchini
Niccolo Machiavelli said: nimeishi nchi zote za Africa Mashariki lakini sijawahi ona Mchina anakuja kwa ajiri ya Utalii................ Click to expand... Basi mshukuru Mungu umeishi long enough kuona sasa kuwa mchina anakuja kwaajili ya utalii nchini
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Nov 13, 2018 #4 Mchina mtalii??