Inategemea unaiangaliaje namba, usianze tulaumu

Inategemea unaiangaliaje namba, usianze tulaumu

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,422
Reaction score
6,108
Usianze kulaumu tuuuu, au kusifia tuuu huku ukipinga mawazo ya wenzako,
Mambo yalivyo ni kwamba inategemea upo upande gani wa namba,

Mfano ikiwa tumeketi huku tunaangaliana basi namba sita 6 itakuwa sita kwangu na tisa kwako,

Mwacheni mama apige kazi, punguzeni lawama
 
Ukiambiwa andika sita utaandika tisa Kwa kusingizia upande??... Mengine yanaonekana Kwa wazi kabisa bila kuangalia huo mtazamo
 
Ukiambiwa andika sita utaandika tisa Kwa kusingizia upande??... Mengine yanaonekana Kwa wazi kabisa bila kuangalia huo mtazamo
Utaandika sita ila aliyekwambia kama yu mbele yako ataiona tisa
 
Back
Top Bottom