alexelias
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,032
- 3,197
Kwa umati huo pale uwanja wa Taifa kwenye Kongamano la Wananchi lihusulo Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga lazima Serikali iingilie kati kwani umati ule hautoshi kuenea hata kwa viwanja viwili kama kile cha Taifa.
Kwa ninachokishuhudia sasa pale Uwanja wa Taifa siyo ni halaiki ambayo haijawahi kuwepo Jumuiko kama lile popote pale Ndani ya Afrika yetu.
Ama kweli Yanga ni Timu ya Wananchi.
Inatisha!
Kwa ninachokishuhudia sasa pale Uwanja wa Taifa siyo ni halaiki ambayo haijawahi kuwepo Jumuiko kama lile popote pale Ndani ya Afrika yetu.
Ama kweli Yanga ni Timu ya Wananchi.
Inatisha!