Hawajaenda kupunguza stress, kumbuka wale ni wananchi na inayocheza ni timu ya wananchiWatu hawana kazi za kufanya bora waende tuu huko sio kwamba ni washabiki hapana wengine wameenda kupunguza stress za maisha
We jamaa unaandika adhifu upo taifa kumbe upo matombo uko
Karibu uje ushuhudie halaiki kubwa ambalo halijawahi kutokea hahahahaha!Yanga Bariidii
Haina Uwezo Wa Kujaza Uwanja Wa Taifa
Labda Wajaze Mitungi Ya Taifa Gas Limited Hapo Uwanjani.
Serikali Ya Viwanda Haiwezi Kuingilia Mambo Ya Yanga Bariidii Haina Mvuto ππππππ
Kwa umati huo pale uwanja wa Taifa kwenye Kongamano la Wananchi lihusulo Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga lazima Serikali iingilie kati kwani umati ule hautoshi kuenea hata kwa viwanja viwili kama kile cha Taifa.
Kwa ninachokishuhudia sasa pale Uwanja wa Taifa siyo ni halaiki ambayo haijawahi kuwepo Jumuiko kama lile popote pale Ndani ya Afrika yetu.
Ama kweli Yanga ni Timu ya Wananchi.
Inatisha!

Asha shiba magimbi.anatuletea habari za kitoto (za fb)Sasa unapoleta taarifa inayohtaji vilelezo huku haina picha unataka tukueleweje? Au wananchi hampigwi picha?