Inatisha: Tatizo la kulala na kushindwa kuamka japokuwa macho yamefumbua na akili ipo sawa sawa!!

Very good
 
Ni balaa shem,.unajihisi nusu hai nusu mfu...[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bas nilianza hadi kukumbuka nlivo kuwa mtoto nikawa nawaza ndugu zangu
Nilikua ndio nsha epa.
Ila kila kitu kilikuwa harakaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bas nilianza hadi kukumbuka nlivo kuwa mtoto nikawa nawaza ndugu zangu
Nilikua ndio nsha epa.
Ila kila kitu kilikuwa harakaa
Hii hali sasahiv ikinitokea tena sipati presha najua tuu nitaamka kwa imani,.ila kuna siku kama dk zilizidi hivi,. weeee nikaanza kuungama kimoyo moyo,maana hata mdomo haufunguki nikajua siku ya parapanda imefika[emoji23] [emoji23]
 

Hakuna kujingezea mkuu, ukifanya mchezo unaweza kuwa chizi. Nilijiongezea nikahisi nimehamia dubai ni habari ndevu yani unatoka kabisa kwenye akili yako tatizo lipo kwenye kurudi. Kwangu ni mtihani nimetokewa na mambo mengi.
 
Imeshanikuta sana. Nashindwa kuamka huku naona mikono inakuwa mizito. Naomba dua baada ya muda naweza kujiachia
 
Hio kitu imewahi nikutaw hasa nikilala bila maombi lakini nikiomba mambo yanakuwa sawa
 
Yaani ukuamka kiroho unaacha mwili pale then unaenda kutalii
 
Dawa ya hali hii ni kusali kabla na baada ya kuamka.kwa wale wakristo safi wanajua wakiwa ktk hali hiyo roho mtakatifu huwapa nguvu ya kukemea bila hata wao kujishughulisha sana ghafla hali hiyo inatoweka.
Nikimwita yesu mtakatifu huwa nakua huru
 
Hakuna kujingezea mkuu, ukifanya mchezo unaweza kuwa chizi. Nilijiongezea nikahisi nimehamia dubai ni habari ndevu yani unatoka kabisa kwenye akili yako tatizo lipo kwenye kurudi. Kwangu ni mtihani nimetokewa na mambo mengi.
Hofu yako na yale mawazo unayoyapa kipaombele ndio tatizo!
Ukishatoka nje ya mwili kama ni mara yako ya kwanza usiende mbali sana mkuu
Kadri utakavyokuwa mzoefu ndivyo utagundua mengi na kwenda mbali zaidi kadri utakavyoongoza mawazo yako
Jiamini wewe ni zaidi ya binadamu.
Ukitaka kurudi ndani ya mwili wako wewe ukumhuke tu huo nwili ghafla utajikuta umerudi au tumia kidole cha mkono kugonga kwenywe paji lako la uso kwa kutumia hisia utarudi selunde hiyohiyo.

Ulijihisi upo dubai alafu unamaind? [emoji2]
 
Mchezo wa hatari huo
 
Hii hali sasahiv ikinitokea tena sipati presha najua tuu nitaamka kwa imani,.ila kuna siku kama dk zilizidi hivi,. weeee nikaanza kuungama kimoyo moyo,maana hata mdomo haufunguki nikajua siku ya parapanda imefika[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mchezo wa hatari huo
 

Mkuu dubai nikakodiwa nyumba na mshara mnono.

Nyengine ilinitokea ya watoto wangu niliwaona kama wamerudi kuwa wadogo na mimi ikawa hawanioni. Hii ilinihuzunisha sana.na ikabidi wapelekwe ujerumani kwenda kutibiwa lakin hawakufanikiwa tiba.

Lakin kwanini kwangu inakaa sana inaweza kufika sa1 mpaka naumia. Saiv sijaribu tena chochote nina mengi.
 
Acha umeza matango ya mshana jr wewe....fanya mambo yako
 
Haya yalikutokea real world au astral plane?
 
Sio ndoto niko kama nimekaa tu nimetulia kwa mda. Watu wanakuwepo wanaongea yao mara nyingine inanitokea. Lakini huwa siwezi kufanya chochote naendelea kutulia mpaka nione move yote inavomalizia.
Aisee! mimi hiyo hapana man.
Ili kuelewa nini maana ya hayo yote na namna ya kuyacontrol hebu watafute kina Pasco Mayalla, Mtambuzi, Racim, Anael na Apollo.
Ulitumia mbinu gani kwani? pengine njia uliyotumia kuingia humo ni tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…