Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungewapapasa makalioIlisha nitokea nikaambiwa nimekabwa na jinamizi.
Niliambiwa nyumba niliyoishi ilikuwa na mazindiko ya kishirikina,eti majini yao yamenikalia
Leo usiku tu imenikuta yaan imekua sehem ya maisha yangu na silali kimgongo mgongo.Hii hali inanipata sana mimi. Mwanzo nilikuwa nahisi sasa malaika mtoa roho Anafanya kazi yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naogopa balaa
Ila kwa sasa huwa natulia tuli huku naomba dua tu basi baada ya muda narudi kwenye hali ya kawaida
We mdada nikionaga komenti zako kitu kinasoma nyuzi 90 (mnara unapanda)Daah aiiisee nimeogopa
nmekutana nayo mara nyingi hasa nikilala hvyo cha ajabu kuna siku nikawa naomba niachiwe ndio ikabana zaidi yaanKwa kipindi kirefu sana tangu nipo shule ya secondary nilishawahi kukumbwa na tatizo kama hili maranyingi sana najua na wewe unaesoma huu Uzi nadhani umeshawahi kupatwa na tatizo kama hili yaani unapo amka asubuhi ama usiku unashindwa kabisa Kunyanyuka na sio kwamba ni ndoto Bali unaji elewa kabisa na unaona kila shughuli zinavyo fanyika kwa wakati huo
Huu sio ugonjwa Bali ni hali inayo itwa kitaalamu "sleeping paralysis "
Hii hali ikikupata maranyingi utapata hofu kubwa sana na utahisi kama jinamizi hivi litakutokea baada ya mfupi lakini sio mambo ya kichawi wala kiroho
Na hii hali huondoka baada ya kama dakika 2-3
Hii hali husababishwa na nini?
Ina sababishwa na unapo lala katika style ya kimgongomgongo gani kulalia mgongo wako na USO wako kutazama juu wakati ume lala ni hatari sana hii kitu.
Ndio maana tuna shauriwa tulalie ubavu wetu Wa kulia.(kama waislamu wanavyo lala)
Je unapokumbwa na tatizo kama hili unatakiwa ufanye nini ilikuliondoa
Kukaa dakika 2-3 bila kunyanyuka wala kuongea na
Ukijaribu kuongea ulimi unakua mzito balaa
Yaani kama unasema baba utaishia kusema aahh
Tena sauti ya chini kabisa na kadri unavyo zidi kuongea ndivo unavyo zidi kuongea vitu visivyo eleweka ndugu wasomaji hii sio ndoto Bali ni real life situation natamani sana kupata MTU hata mmoja ambaye amewahi kukumbwa na tatizo kama hili ili awape mrejesho jinsi inavyo tisha.
==>ili kuondoa tatizo kama hili kwanza fuata hatua zifuatazo
(1) jaribu Ku kunjua mguu wako na mikono yako najua ni kazi ngumu sana ila jitahidi na mwisho wa Siku Lita ondoka kabisa.
(2)kunja USO wako kama MTU alie lamba ndimu
Hii itasaidia pia
(3)usipige kelele kwani utadhidisha uwoga zaidi kwani kelele utakayo ipiga hata MTU akiweka sikio lake mdomoni kwako hatasikia kitu.
Pia omba kwa mungu ili akuondolee tatizo hili hatari
Jinsi ya kuepuka kupatwa na tatizo kama hili
Acha kulalia mgingo wako
Asanteni wakuu
Sleeping paralyse..Unataka kuharibu uzi sasa huyo mpiga ramli usimlete kwenye hiu uzi.. tunataka sababu za kisayansi sio za kupima kwa macho
hiyo ya kupaa hata mimi hunitokea sana,au unatoka, unaona mwili wako umelala pale, unaona watu wanapita ukitaka kurudi kwenye mwili wako ndipo mtihani unapoanza...ipo hii ya kujiona una uwezo wa kupaa hii hunikuta sana, naweza ingia ktk mishe nikafanikisha michongo flani, nikiwa napaa, afu ukijastuka uko kwa sofa tena mchana labda ama usiku, ila sasa nikifuatilia kama itatokea nikakumbuka kilichotokea wakati niko katika ile hali basi mambo huwa supa...mimi pia nimehangaika kuhusu hili lakini bado sijapata jibu la kuridhisha
hiyo ya kupaa hata mimi hunitokea sana,au unatoka, unaona mwili wako umelala pale, unaona watu wanapita ukitaka kurudi kwenye mwili wako ndipo mtihani unapoanza...ipo hii ya kujiona una uwezo wa kupaa hii hunikuta sana, naweza ingia ktk mishe nikafanikisha michongo flani, nikiwa napaa, afu ukijastuka uko kwa sofa tena mchana labda ama usiku, ila sasa nikifuatilia kama itatokea nikakumbuka kilichotokea wakati niko katika ile hali basi mambo huwa supa...mimi pia nimehangaika kuhusu hili lakini bado sijapata jibu la kuridhisha