Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Very goodHiyo ni stage tuu ya mwenda astral wala mleta mada asiwatishe cjui umepalalize ww tulia pale ondoa hofu jua ipo kiroho alaf jaribu kuamka kiroho utaona mwili unabak pale kitandan na ww unaenda kutalii sehem mbali mbali za dunia
note kwa mara ya kwanza utasikia maumivu flan ya ganz lakin ukishazoea yataisha