Inatokea Tanzania tu

Swali halijibiwi kwa swali mkuu uliona wspi timu ikacheza nymbn mfulilizo mechi.11 km co kuisaidia yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
sio kuisaidia ni kuihujumu maana yake watamalizia mechi nyingi away ligi huwa ngumu sana mwishoni sio mwanzoni. lakini inaonesha hakuna watu makini wenye weledi katika TFF ya sasa labda kama wamefanya makusudi. na kwa vyovyote ingekua Simba wangegomea ratiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa yanga hilo swali hujiulizi kwanini hajacheza na azam au ndiyo yale nyani haoni kundu lake
We unaona inatusaidia sisi Azam ilitakiwa acheze na yanga alipotoka Mapinduzi na alikua na muda wa kutosha we hujui kuwa itatumika kubalance matokeo. ukiangalia kwa makini utagundua hili. pamoja na kusaidiwa kiratiba Simba mnacheza mpira mzuri hongereni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba wanacheza vizuri, ni mwendo wa Kunogeshana na HALOPESA, PCCB hiko inawacheki ili waingie wenyewe mtegoni na hapo ndiyo itatokea kitimutimu na kizaazaa Mtaa wa Msimbazi na bakora lazima zitembee mamaee wakati wengine watakuwa wamesukumiziwa ndani, kama kuna anayebisha na ajifanye anajikuna, jifanye tu unajikuna.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…