Inatufundisha nini hii moviie ya "The Best Man"

Mlawi

Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
16
Reaction score
4
Kila mara ninapoangalia movie huwa najifunza mambo mengi. Kwa hii movie waliowahi kuiona,wake/waume, GF/BF/Nyumba ndogo etc inatufundisha nini?

Muwe na siku njema.

Mlawi.
 
Taye Digs, Morris Chestnut na Sanaa Lathan. Hii movie mara ya kwanza kuiona nililia machozi. Usaliti wa kufa mtu. Unachukua mchumba wa mwenzako unalala nae halafu unatengeneza kitabu kuelezea jinsi alivyo mzuri na mwenye kujua mahaba. Just like tha NN.

God have Mercy!
 

Well,umenikumbusha plot ya hii movie.Inasikitisha kweli lakini mwishowe msaliti aliji-redeem kwa kusema ukweli.Alijitua mzigo wa usaliti na hilo ndilo la maana zaidi.Kwa kweli movies za Sanaa Lathan huwa ni hisia tupu,nampenda hata kuliko Angelina Jolie.
 
Ukikiri kwa kinywa chako umesahewa. Watu wengi wanaona aibu kukiri makosa ili nafsi zao ziwe clear. Mungu atupe moyo wa kujua makosa yetu nakukiri kwake. Ni mwaminifu sana "anaweza"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…