navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Salaamu wanajamii, napenda kuuliza hivi huu mkopo wa hazina huchukua muda gani mpaka kuingia kwenye account kama ushamaliza process zote za mkopo?
Sababu tangazo tangu limetoka ni mwezi wa 11 mwaka jana, process zote nikamaliza mwaka jana ila cha ajabu mpaka sasa hivi hakuna chochote na deduction per month ishaanza kutolewa!
Shida itakua huku halimashauri kwangu au hazina, maana ukiuliza huku wanakuambia wenyewe hawahusiki coz tuliomba online moja kwa moja hazina, mwenye ufahamu na hii kitu ashushe nondo tafadhari.