navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Bingwa Ivory coastSalaamu wanajamii, napenda kuuliza hivi huu mkopo wa hazina huchukua muda gani mpaka kuingia kwenye account kama ushamaliza process zote za mkopo!?
Sababu,tangazo tangu limetoka ni mwezi wa 11 mwaka jana, process zote nikamaliza mwaka jana ila cha ajabu mpaka saiz hakuna chochote na deduction per month ishaanza kutolewa...
Shida itakua huku halimashauri kwangu au hazina, maana ukiuliza huku wanakuambia wenyewe hawahusiki coz tuliomba online moja kwa moja hazina.. mwenye ufahamu na hii kitu ashushe nondo tafadhari.
Online loan application inafanya loan officer wakose pesa ya mchongo toka kwa mteja Kwa hiyo Lazima wacheleweshe mkopotulia utawekewa
Ulitoa hata buku2 ya maji?Salaamu wanajamii, napenda kuuliza hivi huu mkopo wa hazina huchukua muda gani mpaka kuingia kwenye account kama ushamaliza process zote za mkopo?
Sababu tangazo tangu limetoka ni mwezi wa 11 mwaka jana, process zote nikamaliza mwaka jana ila cha ajabu mpaka sasa hivi hakuna chochote na deduction per month ishaanza kutolewa!
Shida itakua huku halimashauri kwangu au hazina, maana ukiuliza huku wanakuambia wenyewe hawahusiki coz tuliomba online moja kwa moja hazina, mwenye ufahamu na hii kitu ashushe nondo tafadhari.
Inahusianaje mkuu na kupewa
Ukiangalia online status inasemaje? Approved amount inasemaje?Inahusianaje mkuu na kupewa
Approved amount ishapita,na signed contract nishasubmit..na isha be verified.Ukiangalia online status inasemaje? Approved amount inasemaje?
Unaomba online, hakikisha halimashauri imepewa gawio.Naomba kuelekezwa jinsi ya kuomba mkopo Hazina
Nafikiri wakwake huyu ni asubiri kwenye hii nk...Siku hiyo hiyo,siku 2,siku 3,wiki,nk...
🤣🤣🤣🙌🏿 kwa kweliNafikiri wakwake huyu ni asubiri kwenye hii nk...
Naamisha sasahivi ukiingia katika Acc yako ya Hazina portal online inaandikaje?Approved amount ishapita,na signed contract nishasubmit..na isha be verified.
Stage bado mpunga tu na tangu mwezi wa 12 mzigo haujaingia
Vipi ulishawekewa au hadi leo ni kimya?Salaamu wanajamii, napenda kuuliza hivi huu mkopo wa hazina huchukua muda gani mpaka kuingia kwenye account kama ushamaliza process zote za mkopo?
Sababu tangazo tangu limetoka ni mwezi wa 11 mwaka jana, process zote nikamaliza mwaka jana ila cha ajabu mpaka sasa hivi hakuna chochote na deduction per month ishaanza kutolewa!
Shida itakua huku halimashauri kwangu au hazina, maana ukiuliza huku wanakuambia wenyewe hawahusiki coz tuliomba online moja kwa moja hazina, mwenye ufahamu na hii kitu ashushe nondo tafadhari.