jana nilikaa youtube muda mrefu nikiangalia inauguration speech za wakulu wa marekani, specifically George W. Bush Jr na Barrack H. Obama.
katika speech ya George Bush mdogo nikagundua kitu kimoja, jamani wenzetu huwa wanafanya wanachokisema kwenye hotuba zao. nikim paraphrase, alisema marekani haitamvumilia yoyote ambae anakuwa tishio kwa marekani, na maneno menginemengine ambayo waziwazi yanaonyesha kabisa kuwa Sadam Hussein lazima apigwe, na akapigwa.
kwenye speech ya Barrack Obama nimependa alivyosema "if market left alone will spin out of control" sasa jamani kama mkulu anasema hivyo sisi ni nani hata tuachie kila kitu kwa soko huria. serikali yetu ina nini sasa hivi jamani? reli, madini, mafuta, kila muhimu kimeachwa kwa soko huria. jamani hii ni sawa kweli?
nadhani kuna haja ya kujifunza kwa wakulu hawa
1. viongozi wetu wajunze kufanya wanachokisema wanapokuwa kwenye majukwaa
2. tuachane na total liberal jamani, waliokwishaendelea wenyewe wametengeneza njia za kuangalia masoko na sio kuyaachia moja kwa moja, sisi tuna uchumi gani wa kachia soko huria ituendeshee mambo yetu?
2.