Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Kama kuna kijana asiye na fadhila aliyetoka Upinzani na anayeumaliza Upinzani huo huo uliyemkuzà na kumlea basi ni huyu Kafulila.
Leo hoja kubwa kubwa za Upinzani kama ukuaji wa deni la Taifa, Ubinafshaji wa Bandari huyu jamaa amekuwa akizieleza kwa data na mifano hata sijui kama ni ya Kweli au ya kubumba lakini naona Upinzani uko ziiii kwanini hatujibu au hatujui au anayoyasema ni ya kweli?
Huyu Bwana ni mtu hatari kuliko akina Makalla na Wassira Kwakuwa ni wazi huyu jamaa anafanya haya kwa maelekezo ya CCM na Samia na anafanya kwa ustadi mkubwa wewe fuatilia tu maandiko yake humu utaelewa nachosema.
Inauma kuona Kafulila anatamba tu na hoja humu bila kukabiliwa na yoyote labda kidogo Mpina na Job Ndugai lakini wote hawa ni watu wa CCM Upinzani uko wapi?
Nashauri wachambuzi nguli wa Uchumi kama akina Zitto Kabwe, Ruge na Ambokile wa CHADEMA waje na majibu kwa hoja za huyu jamaa kwani anapenyeza agenda zake kwa umakini mkubwa na ni kimya kimya.
Chukueni tahadhari mapema!