Inauma sana barmaid anakuahidi akifunga bar mambo yatakua fresh lakini mda ukifika inakua tofauti kabisa.

Bora alivyoondoka kwao buza na kukuacha hapo ukipigwa na baridi demu mwenyewe amekutwa na Corona...

Likuepukalo lina kheri.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji16][emoji16]
POMPEO asubuhi umeanza na kabinti kalikonunua tiles kakuachia chenji 6000
mchana white hupendi black
usiku saa 8 maduka mawili umeachwa solemba
kesho wahi dukani, mabaamedi wana watu wao wanaowahudumia kila siku
unaweza ambiwa akanabidhi mauzo kwa meneja kumbe anakung'utwa wewe ukaachiwe ukamlaze guest uondoke na malazi
 
Hahhaha aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…