Inauma sana unapogundua kuwa...

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Kuna jamaa yangu mmoja ana kitabia kichafu cha kutembea na wake za watu huku naye ana mke tena mzuri wa sura natabia. Sasa hivi karibuni alimtokea mke wa mtu ofisini anapofanyia kazi mkewe,na akafanikiwa kutembea naye. Issue ikaja kuwa katika kuchat kwa sms baada ya tukio yule mke wa mtu aliyetembea naye akamtumia ujumbe ufuatao "kwa game lile kumbe ndio maana hata mkeo analiwa sana nje..." . Jamaa alichukuia sana na akamvaa mkewe kwa mihasira pale pale.... Duh kumbe kula kutamu sana ila ukiliwa kidogo inakuwa issue...
 
ahahahah nimecheka sana inabidi mjue muosha huoshwa pia:smilez:
 
Mkuu hebu fafanua kidogo...tabia nzuri ya mke ni ipi hapo....ya kuliwa sana nje au??
 
Muone MK na thread yake ya kujichongea kwa wake zetu upate somo
 
Yakutunga, tabia gani njema halafu analiwa nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…