Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Kulikuwa na m'mbwa wetu mkali sana.....alikuwa mkali kama simba hadi muda mwingine anawachenjia wanakaya maana alikuwa hataki mchezo.........sasa mshua akaamua yule mbwa ahasiwe ili apunguze ukali.......utaratibu wa kumuhasi ukafanywa........cha ajabu yule mbwa akawa mpole kama kobe.........mshua ikabidi amuanzishie dozi ya bangi ili mizuka ya kupambana iwepo japo kwa usiku..........so akamuanzishia dozi ya bangi anampigisha pafu za kutosha usiku kisha anamfungulia...........cha ajabu akagundua kuwa huyu mbwa huwa anatoroka usiku na kurejea asubuhi....
Katika kufanya uchunguzi..........akagundua kuwa huyu mbwa huwa anakwenda mtaa wa nyuma ambao kuna m'mbwa dume mwingine wa geti kali ambaye huwa anamfuata ili akamgegede......dah[emoji27]
Mshua anajuta sana maana m'mbwa wetu keshakuwa mshumaa tena ......... anagegedwa na majibwa mengine.......na usimpomfungulia anatoa milio ya ajabu halafu kama anabana pua hivi akiwa analia[emoji108] ......halafu anafanya fujo balaaa.........ukienda kumfungulia anatoka nduki anaruka fensi anawahi mtaa wa nyuma kwenda kugegedwa
.........ukienda kuchungulia unamkuta anamwaga uno..........insikitisha sana.....kama usiku wa jana nikampa bange misokoto miwili na redbull iliyochanganywa na kahawa akatoka nduki.......kwenda kumfuata namkuta anagegedwa na majibwa koko matano kudadadeki[emoji22] ..........nimelia sana......hadi hapa ninahadithia nimeshika picha ya m'mbwa wetu kipindi hicho akiwa bado ni askari mkakamavu asiyezoeleka kizembe......daaaah inauma sana jamani.[emoji25]