Inauma sana

mgemtafutia jike ambalo limepigwa sindano na si kumuhasi mbwa dume.... ona sasa gharama ulizoingia mpaka sasa,na bado umemvutisha bange... we jamaa sijui wa wapi?
Ni majanga ya kufuata ushauri wa watu wanaojifanya ni animal doctors kumbe hawajui lolote bora tungemuacha vile vile na ukali wake......
 
Hata Mimi mwanzoni nilikua naamini hivyo hadi niliposhuhudia mbuzi madume wakifanya huo mchezo wao kwa wao, ila hao walikua Mbuzi wa Zanzibar pale uwanja wa mpira malindi karibu na kituo cha polisi. Traffic.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama namuona ilo uno analo kata maana mbwa kwa miuno wako vizuri to [emoji86] [emoji86]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dingi jau....unamuhasi vipi kiumbe mwenzio wa kiume?
Nilijitahidi sana kupambana na hilo swala katika vikao vya familia mimi ni katibu wa kamati ya ulinzi katika familia.....sasa mshua ndiye CEO wa familia so akipitisha janbo haina kubisha........
 
Hata Mimi mwanzoni nilikua naamini hivyo hadi niliposhuhudia mbuzi madume wakifanya huo mchezo wao kwa wao, ila hao walikua Mbuzi wa Zanzibar pale uwanja wa mpira malindi karibu na kituo cha polisi. Traffic.
Mmmhhhh hao sio mbuzi hao ulitakiwa utafune karafuu ndo ungeona uhalisia wao hehe
 
We jamaa nouma sana nimecheka sana ..
ila sasa nimeshindwa kujua mahudhui ya hadithi yako
 
We jamaa nouma sana nimecheka sana ..
ila sasa nimeshindwa kujua mahudhui ya hadithi yako
Unajua toka jana mpaka leo kila nikikumbuka story ya huyu mbwa wa ndg yetu alivyokua mkali mwanzoni,na hata kupeleka kutolewa uamuzi wa kumuhasi,matokeo mbwa kuwa si rizki hata kupelekea kupigishwa msuba ili japo awe na tabia za ki gangster lakini wapiiiiiii!!!!!!Mbwa kashaharibiwa sasa tunasubiri kikao cha familia baada ya kugundua mbwa kawa mkata mbuno mashuhuri kitaani watamfanya nini mbwa wao mpendwa......
 
Nilijitahidi sana kupambana na hilo swala katika vikao vya familia mimi ni katibu wa kamati ya ulinzi katika familia.....sasa mshua ndiye CEO wa familia so akipitisha janbo haina kubisha........
Hahaha pole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…