Inaumiza na kusikitisha (more than pain)

Inaumiza na kusikitisha (more than pain)

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
- Kujiona una sumu kwa kumpata demu kisu kumbe demu ni muuzaji.

- Una cheti first class ila ajira amepata mwenye lower class.

- Kutunukiwa tunda na binti mrembo alafu mnara ukagoma kusoma.

- Kuwa na njaa alafu unakuta chakula usichopenda.

- Kumdharau usiyemjua kumbe yeye ndio msaada wako pekee.

- Kumjali kwa kutomla kisamvu kumbe kuna boya daily anakipakua na kula.

- Kuanzisha uzi na asicomment mtu yoyote.
 
-kujiona una sumu kwa kumpata demu kisu kumbe demu ni muuzaji.

-una cheti first class ila ajira amepata mwenye lower class

-Kutunukiwa tunda na binti mrembo afu mnara ukagoma kusoma

-kuwa na njaa afu unakuta chakula usichopenda.

-kumdharau usiyemjua kumbe yeye ndo msaada wako pekee

-kumjali kwa kutomla kisamvu kumbe kuna boya daily anakipakua na kula

-kuanzisha Uzi na asicomment mtu yoyote.
Ya mwisho ndo imenigusa na tabia hiyo wanayo Jf
 
Back
Top Bottom