Inaumiza na kusikitisha (more than pain)

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
- Kujiona una sumu kwa kumpata demu kisu kumbe demu ni muuzaji.

- Una cheti first class ila ajira amepata mwenye lower class.

- Kutunukiwa tunda na binti mrembo alafu mnara ukagoma kusoma.

- Kuwa na njaa alafu unakuta chakula usichopenda.

- Kumdharau usiyemjua kumbe yeye ndio msaada wako pekee.

- Kumjali kwa kutomla kisamvu kumbe kuna boya daily anakipakua na kula.

- Kuanzisha uzi na asicomment mtu yoyote.
 
Ya mwisho ndo imenigusa na tabia hiyo wanayo Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…