Inauzwa bei gani?

Inauzwa bei gani?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Kwa anayejua bei ya hizi pikipiki na mahali zinapopatikana, anijulishe tafadhali.
Screenshot_20241211-114650.jpg
 
Arusha ni 3M -3.2M ila Moshi kwa 2.7M zinapatikana. Zipo aina mbili hizo kuna za full auto na auto/manual yaku opt.
 
Ila kimekaa utam cha umeme au subiri waje wenye kujua
Hapana mkuu si ya umeme. Kanatumia mafuta. Pia pikipiki hizi bei yake ni 2.5 mpaka 3 ina range humo.
Na ni kwa sababu ya fuel consumption yake. Kama sikosei full tank ni elf13 na kama ni mtu wa route chache basi unaweza kutoboa mwezi.

Ni pikipiki nzuri kwa uchumi wa watu wa Chini
 
Back
Top Bottom