Car4Sale inauzwa IST namba DRJ kwa 8.5m tu

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
844
Ist kali inauzwa ( muhusika amepata dharura )

rangi ; nyeusi

mwaka: 2005

cc ; 1290

inapatikana sinza meeda

mawasiliano; 0765 494548
 

Attachments

  • Screenshot_2020-06-23-16-24-00.jpeg
    40.5 KB · Views: 2
Mbona kama kalipata mzinga.au iko mkoani.manaa kwa namba hyo inabid kawe kanangaa
 
Gari nyingi used ukiziangalia vzr ktk taa za mbele huwa na utofauti baina ya taa moja na nyingine, mara nyingi moja huwa angavu ila nyingine ........

Anyway napita tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…