Nitakutafta nahitajiKaribu sana mkuu
Kwani nyie mna kiwanda cha haya makitu? Acha kujifelisha! Kama una mkwanja pungufu hii siyo njia sahihi ya kuomba punguzo!Miguu imefungwa na mpira unasema ni mpya
Kama natoa hela yangu nitahakikisha napata best value of my money na hiyo ndio njia sahihi ya kutumia pesa.Kwani nyie mna kiwanda cha haya makitu? Acha kujifelisha! Kama una mkwanja pungufu hii siyo njia sahihi ya kuomba punguzo!
Na declare int.
Sifahamiani na Muuzaji .
Uko sahihi!Kama natoa hela yangu nitahakikisha napata best value of my money na hiyo ndio njia sahihi ya kutumia pesa.
Imefanyiwa Calibrations karibuni na inapiga kazi?Usjali mkuu, pengine bahati haikua yakwako....
inaona umbali gani?Ndio mkuu, kwakweli nazitazama kwa jicho la karibu zaidi.
Karibu sana mkuu...[emoji4][emoji4]