Mh, nchi hii kwishney. Watu wanatengeneza kachumbali (NIMRCAF) , Kisamvu (covidol) wanauziwa watu eti ni dawa ya corona and other respiratory system complications! If human medicine could be that much simple, there would not have been a need for hospitals and sophisticated medical research centres worldwideTunauza na kusambaza dawa/tiba asili ya homa, mafua na matatizo ya mfumo wa upumuaji (COVIDOL) Tshs 25000, pamoja na dawa Lishe kwa ajili ya mafua makali na kikohozi kikavu (NIMRCAF) Tshs 15,000 na dawa aina ya BUYEGI Tshs 20000 kwa jumla na reja reja. Tunafanya delivery kwa mikoani na nje ya nchi.
Kwa mawasiliano zaidi piga Simu 0767 333356 pia tembelea ukurasa wetu instagram "shangwe_business_centre.
Tunajali afya yako na jamii nzima
nisamehe please. nimechanganya mambo, nafuta ,Mzee umeniona wapi?we mzee mimi naingiaje kwenye hii thread?
buza kwa mpalange,Mzee umeniona wapi?
Sijawahi sikia jina hilo, Buza wapi?buza kwa mpalange
kwa mpalange, hujui kusoma?Sijawahi sikia jina hilo, Buza wapi?
Karibu,Ahsante kwa taarifa...
Nasikia kiwanda cha makonda..sasahivi anauza hizo dawa.Hizi dawa si inabidi serikali izigawe bureee