Tetesi: Inavyosemekana si tu kuwa mwenyekiti, mwamba ndiye atakayepeperusha bendera ya kugombea urais

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Habari za chini chini ni kuwa wajumbe wengi wanakubaliana kwamba hakuna mwingine atakayeweza kupeperusha bendera ya kuwania Urais zaidi ya mwamba. Hii inatokana na ukomavu wa kisiasa anaozidi kuuonyesha.

Maridhiano ni process.
 
Kura yangu anayo, Viva Mbowe Vivaaa! Tuvushe Mbowe tuvusheee, tuvushe Mwamba tuvusheee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…