Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kaka angu, lakini mimi ningekushauri upate mda wa kutulia na kupunguza jazba kidogo ili ufanye maamuzi sahihi
japo cjawahi kuishi na mke so siwezi kuwa expert wa mambo ya ndani ya nyumba nadhani umri wako bado haujaenda kiasi hicho cha may be majukumu mengine ya kifamilia yanaweza kufanya uwe na ulazima wa kutafuta mwenza haraka
lakini kwa mtazamo wangu nadhani unahitaji mda zaidi wa kujipanga tambua hapa unaweza pata msichana ambaye ni msanii akatumia advantage ya matatizo uliyoyaeleza akaigiza kama wife material kumbe ndo balaa zaidi
Tulizana kwanza kijana!! Usije ukaokoteza gubegube humu!
pole,mungu atakujalia utapata2,mbona hujaweka sifa za mke unayemtaka?