Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Teh tehHahahaha
Ukim offer hado ndoa halaf ana kataa kuna ttzo hapo
Bhuahahahahaha duh nimecheka sanaaa aseeMwanamke unatongozwa uolewe halafu unadai oooh all men are players!!!!........sasa subiri uolewe na refa...
TehBhuahahahahaha duh nimecheka sanaaa asee
Hiyo kali mkuu...Lakini pia wasisahau hata refa nae ni player japo hagusi mpira, yeye anachezea filimbi.
Wanapenda kudanganywa always,vipi mkuu stendi kunasomeka?Hao mimi huwa nawashaanga sana yaani unakuta mtu unaongea ukweli yeye anachukulia poa