Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Kuna mengi sana ambayo Huenda yalifanyika kwa kujiamini kuwa utawala utaendelea miaka yote kwa hiyo hamna shida, kifo tu ndio huwa hakimjulishi mwanadamu kuwa siku yako yaja, ila wale ambao ni wa kiroho huwa wanasema nimeambiwa niziungame dhambi zangu na kutubu maana muda wangu umefika.
Kwa dunia ya sasa hivi ni vema kuwa tayari na kujipanga kwa lolote, ukifanya kazi jaribu kurekebisha makosa na uishi vizuri na watu.
Kwa maoni yangu chama kinaweza kisikubali na hakipo tayari kukabidhi kwa sababu: huenda kuna vitu walifanya ambavyo wakiachia au kukabidhi itakuwa ndio mwisho wa maisha yao kama viongozi, wanachama na vizazi vyao.
Maoni yangu ni kwamba siku zote tuwe tayari likitokea ambalo Mungu amepanga lisituathiri kwa sababu ni wasafi, hatuna mabaya na tuna mengi ya kujivunia tumeyafanya.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.