Unaweza ila output inakuwa hit and miss kifupi sio reliable kabisa.
Pia ku edit chochote unahitaji source file, maana hizi kazi zina marekebisho kila mara, output ya jpeg and png ni tofauti na Psd ama vector file kama .ai
Mara Mia jifundishe ku edit hizo psd unadownload kazi ya mtu online na kufanya editing ndogo ndogo utapata output nzuri.