Maoni yako yanataja 1, Bahati 2, Uwezo wa kuijongeza.Inawezekana ukiwa na bahati na uwezo wa kujiongeza sio copy & paste kutoka kwa vimillionaire uchwara vya uswahilini
Tatizo unafanya ukiwa hauna imani. Fanya kwa imani kisha utaona matokeo chanya.Habari gani ikiwa yote hayo yanafanyika na bado hakuna cha ajabu?
Salama tu mkuu.Habari gani
Bilions? kama una rith kuna mtu alianza kufanikiwa ndiyo akatengeneza huo urith.so achana na mambo ya kurith rithi wewe te geneza utajiri wako uje uwarithishe wanaoHivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kufanikiwa kiuchumi bila kubebwa?
Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa ni walau kuwa na billions za Kitanzania.
Utajiri ni wa *SubhannaAllahu waTa'ala* humtunuku amtakae na humkaushia amtakae !!Kwakweli mafanikio ninayozungumzia hapa siyo kujenga nyumba Kibaha na Kununua IST ya kupelekea watoto shule.
Hayo yenyewe no kawaida kwa kila mwenye juhudi bila kujali ametokea familia gani anaweza kuyafikia.
Ninachozungumzia Mimi zile hela na mali zenye kichwa na miguu.