chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Siasa ni kitu cha ajabu na kama ni bahati ya mtende bila kutegemea.
Hata putin historia inaonekana ni bahati ya mtende kufikia kuwa raisi ya Urusi.
Ila vita hii inaweza kuwa neema kwa tajiri Abromovich huko mbeleni kuingia kwenye duru za kisiasa na kwa ajili ya mapebari ambao naona kama kuna upande kutengenezwa kuja kushindana na putin kama akiachia madaraka au vugu la kisiasa huko mbeleni.
Abromovich kuja kuwa raisi wa baadae na mabadiliko ya baadae katika historia mpya ya Urusi.
Asanteni ni wazo limekuja ghafla sio kusikia