Tatizo lako ni upeo mdogo kuhusu geopolitics. Sikulaumu unapomrushia lawama Putin. You are such naive to the extent of being easily swayed by western media propaganda.Abromovich ana moyo wa kipekee sana. Sio katika mpira hata project zake zingine anaziendesha kwa moyo wa utu na ndo maana sishangai anafanikiwa sana.
Ni mtu sahihi kuwaongoza Warusi sio huyo kichaa dikteta anaigeuza nchi kama mali yake.
Abromovich ana moyo wa kipekee sana. Sio katika mpira hata project zake zingine anaziendesha kwa moyo wa utu na ndo maana sishangai anafanikiwa sana.
Ni mtu sahihi kuwaongoza Warusi sio huyo kichaa dikteta anaigeuza nchi kama mali yake.
Sawa Mzee wa bwaksiKuongoza Nchi si kitu kama kuendesha biashara kama mnavyodhani,Muulizeni Said salim Bakhresa alivyojiingiza kwenye siasa 1995,na kwanini yuko low profile when it comes to politics..
Amini nakwambia hata abramovich hicho kitu hakipo kichwani mwake,hata kukiwazia tu,ndio maana wanakuwa royal sana kwa state/putin,sababu wanajua
H
Tatizo lako ni upeo mdogo kuhusu geopolitics. Sikulaumu unapomrushia lawama Putin. You are such naive to the extent of being easily swayed by western media propaganda
PUNGUZA UDINI AFU MBONA UNATUMIA LUGHA YA HAO HAO MABEBERU UNAOWAONA HAWAFAIH
Tatizo lako ni upeo mdogo kuhusu geopolitics. Sikulaumu unapomrushia lawama Putin. You are such naive to the extent of being easily swayed by western media propaganda.
Humjui Abrimovich,yule ni zaidi ya putin,Abromovich ana moyo wa kipekee sana. Sio katika mpira hata project zake zingine anaziendesha kwa moyo wa utu na ndo maana sishangai anafanikiwa sana.
Ni mtu sahihi kuwaongoza Warusi sio huyo kichaa dikteta anaigeuza nchi kama mali yake.