Angry Bird
JF-Expert Member
- May 3, 2016
- 514
- 487
Nguvu za kiume anazo? Anaweza kufanya mapenzi kikamilifu?? Kama majibu ni NDIO, basi anaweza kutia mimba!!Madoctor, wataalamu na wote mlio na uelewe wa ugonjwa huu naombeni mnipe majibu. Google imeniacha na maswali.
Huyu bwana ameugua kisukari kwa muda mrefu sana, figo zishafail anafanyiwa dialysis mara mbili kwa wiki. Inawezekana akampa mimba mke wake?
Kusafishwa figo haina maana kwamba hauna uwezo wa kutwisha mimba.Madoctor, wataalamu na wote mlio na uelewe wa ugonjwa huu naombeni mnipe majibu. Google imeniacha na maswali.
Huyu bwana ameugua kisukari kwa muda mrefu sana, figo zishafail anafanyiwa dialysis mara mbili kwa wiki. Inawezekana akampa mimba mke wake?