[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji97] [emoji97] [emoji97] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Imooo
Ni kweli ana hofu sana,Mkuu si rule out ni mimba, ila kisaikolojia huyo dada anajihisi labda tayari, may be kwa kuogopa kupata mimba, ana mipango mingine, hivyo anahofia mimba, itakatisha mambo yake,watu wa hivi hofu yao inaleta kisaikolojia symptoms za mimba .
Mkuu tumia Kinga siku nyingine, unaogopa mimba, huogopi maradhi?
Imesha kula kwakooooooo owa tu hamna cha kamchepuko wala niniiiWee acha tuu mkuu, ni kamchepuko.
Msaada kwa hili tafadhali kwenu wataalam wa jf.[/QUOTE]Habari wakuu,
Nilikutana kimwili na binti ambae nipo na mahusiano nae, sasa wakati tunaendelea kufanya akawa ananisihi sana nisimwagia ndani sababu alikua kwenye siku za hatari, nilipokaribia kumwaga nikatoa nkamwaga nje, baada ya sekunde kadhaa nikarudisha ndani nikaendelea na shughuli ila sikumwaga tena,
Sasa baada ya wiki 2 ananiambia hajiskii vizuri, jana nikampa kipimo kile cha UPT na majibu ana mimba,
Naomba kujua inawezekana mwanamke akapata mimba hata kama mbegu zikiwa kitone?
Msaada kwa hili tafadhali kwenu wataalam wa jf.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Iyo haina ubishi baba kijacho.