mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,536
Kwanza kabisa nikwambie kiwa mimba hiyo ni yako 100% njia hiyo huwa inahitaji umakini wa hali ya juu sana kwa ulikisea kuitumia coz njia hiyo huwa inatakiwa ukisha piga bao tu usiingize tena hadi ukakojie ili kusafisha njia coz njia ni moja ya sperm na mkojo wa kawaida, so ulitakiwa ukisha piga bao uende kukojoa ili acid ya mkojo inaziua sperms then unarudi tena na ukipiga bao una enda kukojoa tena hivyo hivyo hapo utakuwa safe 100% ,Unataamboko, post: 18808898, member: 58682"]Habari wakuu,
Nilikutana kimwili na binti ambae nipo na mahusiano nae, sasa wakati tunaendelea kufanya akawa ananisihi sana nisimwagia ndani sababu alikua kwenye siku za hatari, nilipokaribia kumwaga nikatoa nkamwaga nje, baada ya sekunde kadhaa nikarudisha ndani nikaendelea na shughuli ila sikumwaga tena,
Sasa baada ya wiki 2 ananiambia hajiskii vizuri, jana nikampa kipimo kile cha UPT na majibu ana mimba,
Naomba kujua inawezekana mwanamke akapata mimba hata kama mbegu zikiwa kitone?
Msaada kwa hili tafadhali kwenu wataalam wa jf.
Asante mkuu kwa ushauri,Unapokaribia kupiga bao huwa kuna ute mwepesi hutangulia ili kusafisha njia ya sperms zipite kwa urahisi. Huu ute uakuwa na mbegu chache ambazo zinakuwa hai na tayari kwa kurutubisha. Kama ulihisi unakaribia Kupizi tayari huo ute ulishatangulia na mimba tayari imepatikana.
Kujua kama ni yako basi Lea na uangalie muda. Usije kubebeshwa zigo lisilo lako. Huenda alipata kwa asiyempenda akaona aje kwako anayekupenda.
ulitakiwa usubiri walau masaa manne. hapo yale mabaki yalikuwa bado hai na ndiyo yaliyosababisha mimba.kama sikosei wanasayansi wanatuambia mbegu hizo huwa hai masaa 72 au 48 kutokana na jinsia, ila uwezo wa kujongea ni masaa 3.5 baada ya kukojoa, hazitakuwa na uwezo kuogelea kwa kasi ile ya mwanzo hivyo hazitafika kwenye yai. ila kwako wewe, ile ulipomaliza tu kuna mabaki yalikuwa kwenye mfereji, uliporudia tu yakatoka yote na ndiyo yaliyosababisha mimba. hata ivyo, acha uzinzi, uaneni ili mzae watoto ambao si wa nje ya ndoa na ninyi msiendelee kuzini. ni dhambi.Habari wakuu,
Nilikutana kimwili na binti ambae nipo na mahusiano nae, sasa wakati tunaendelea kufanya akawa ananisihi sana nisimwagia ndani sababu alikua kwenye siku za hatari, nilipokaribia kumwaga nikatoa nkamwaga nje, baada ya sekunde kadhaa nikarudisha ndani nikaendelea na shughuli ila sikumwaga tena,
Sasa baada ya wiki 2 ananiambia hajiskii vizuri, jana nikampa kipimo kile cha UPT na majibu ana mimba,
Naomba kujua inawezekana mwanamke akapata mimba hata kama mbegu zikiwa kitone?
Msaada kwa hili tafadhali kwenu wataalam wa jf.
Ckuwaza hilo kwa kweli maana cku akiwa danger hua natumia ndom, ila ilkua gemu ya kushtukiza na yeye ndio aliitaka, mpaka naingiza na yeye kuhisi nakaribia mlimani ndio akaomba nisimkojolee ndani. Na baada ya hy akadai yeye bado niendelee na gemu, ikanibidi tuu niendeleeHaihitaji sperms millions kutengeneza mimba n one sperm out of millions
Ungenawa kwanza kisha mkaendelea
Pull out method ts nat useful kihivyoooo
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Hiyo haina ubishi baba kijacho.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Jiandae kuoa huyo na pia andaa kopo la mkaa, Maembe mabichi, Kichuguu chekundu na mti wa mlimao....Over
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imebidi nicheke.Wee acha tuu mkuu, ni kamchepuko.
wajawazito wa siku hizi sio wa zamani wao wanakulaga chips yai na si udongoJiandae kuoa huyo na pia andaa kopo la mkaa, Maembe mabichi, Kichuguu chekundu na mti wa mlimao....Over
Asante kwa ushauriView attachment 444974
Kumwaga nje kukitumika vizuri ufanisi wake ni mkubwa sana.
Kwa kesi yako ni kweli mimba inaweza kuingia, hivyo hiyo ni yako. Nchi yetu inafuata sera ya uzazi wa mpango hivyo ukienda hospitali za afya ya uzazi unaweza kusaidiwa.
Mhhhh "uaneni" au oaneni?ulitakiwa usubiri walau masaa manne. hapo yale mabaki yalikuwa bado hai na ndiyo yaliyosababisha mimba.kama sikosei wanasayansi wanatuambia mbegu hizo huwa hai masaa 72 au 48 kutokana na jinsia, ila uwezo wa kujongea ni masaa 3.5 baada ya kukojoa, hazitakuwa na uwezo kuogelea kwa kasi ile ya mwanzo hivyo hazitafika kwenye yai. ila kwako wewe, ile ulipomaliza tu kuna mabaki yalikuwa kwenye mfereji, uliporudia tu yakatoka yote na ndiyo yaliyosababisha mimba. hata ivyo, acha uzinzi, uaneni ili mzae watoto ambao si wa nje ya ndoa na ninyi msiendelee kuzini. ni dhambi.
Bas Lea tu she is pregnantCkuwaza hilo kwa kweli maana cku akiwa danger hua natumia ndom, ila ilkua gemu ya kushtukiza na yeye ndio aliitaka, mpaka naingiza na yeye kuhisi nakaribia mlimani ndio akaomba nisimkojolee ndani. Na baada ya hy akadai yeye bado niendelee na gemu, ikanibidi tuu niendelee
kweelii..eenhee...[emoji15] [emoji15] ??..Kuna kabao huwa kanachelewa kutoka baada ya bao kuu ukute ulikamalzia kwa ndani