Mafanikio 07
Member
- Jun 18, 2019
- 57
- 37
Acha Maringo wewe Zanzibar kuna kitu gani cha pekee. Watu wengi wanavitambulisho hivyo hivi sasa. Ndio maana kile kinaitwa mzanzibar mkaazi . Maana mtu yeyote anayeishi ZanzibarHaiwezekani, watanganyika hamna haki hiyo hapa Zanzibar.