mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 811
- 396
mmh! mapenzi ya kiulaya zaid haya
kwangu mimi mbantu NO-
mmh! mapenzi ya kiulaya zaid haya
kwangu mimi mbantu NO-
Hata ulaya haipo hii,dogo stuka!!
Umenena mkuu
mmh! mapenzi ya kiulaya zaid haya
kwangu mimi mbantu NO-
Nahisi jamaa bado anakula cuz kila akiniona anajistukia
Sasa kama walishakuwa wapenzi, na bado wana-hang pamoja, kwa nini wasiendelee tu na upenzi wao? Dawa ya moto ni moto, muambie na wewe unatoka na ex wako huko uliko amekuja kukutembelea, umuone atavyocharuka!
achana nae anakupotezea muda huyo so far anakuchanganya na usisubiri uumizwe sepa unako mapema uanze upya maisha ya urafiki hayana kuvumiliana bana akishindwa kubebeka unamdondosha chini unabeba anaye bebeka.
Niko kwenye uhusiano mdada flani,shida ni kwamba alikuwa na boy wake lkn waliachana kwa sasa anavyodai ni rafiki yake wa kawaida ila muda mwngi anakuwa naye pamoja na hata Idd walitoka wote cuz me sikuwepo!!! ni urafiki tu au mali yangu yaliwa!?
yaani siku hizi ni full usanii! aisee, hainingii akilini!!
Sasa kama walishakuwa wapenzi, na bado wana-hang pamoja, kwa nini wasiendelee tu na upenzi wao? Dawa ya moto ni moto, muambie na wewe unatoka na ex wako huko uliko amekuja kukutembelea, umuone atavyocharuka!
Watakuwa wanakumbushia enzi kidogo kidogo wakati wewe haupo au unapokuwa safari ....!
Tafuta mustakabali wa mahusiano yako na mwingine.
Huogopi ukimwi??????