bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 767
- 1,083
Wakuu poleni na mjukumu, Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina kausafiri nilikapata kwa mbinde long time ago Sasa naona mwendokasi wake ni wakusuasua naomba kujua Kama kunauwezekano wa kukaongezea speed bila kubadili injini. Angalau kafikie 180 ili kupunguza vibration maana kakiwa kwenye 80 km/h naona Kama earthquake [emoji1787]
Maana bado kagari kangu nakapenda. Natanguliza shukrani.