PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Anachokifanya hivi sasa ni kama amefikia ukomo wa uwezo wake, au anajiandaa kuondoka lakini anataka aiache timu katika mazingira ambayo inapelekea akumbukwe.
Amefanya mambo makuwa sana ndani ya Yanga na kujijengea heshima. Lakini Kwa ninachokiona hivi sasa, ni dhahiri kuna mgogoro ndani ya Yanga kati yake na mdhamini wa Club.
Najaribu kuelewa, lakini haiingii akilini kwa Club kama Yanga kuwekeza katika kuokota wachezaji walioachwa na Simba, (hapa tusiwahusishe Chama na Mkude). Haijawahi kutokea hii, nina uhakika kwa mwendo huu, first eleven ya Yanga msimu ujao itaundwa na wachezaji kutoka Simba.
Kabla ya kila wakati kuja public na kututaa wanachama tuwe watulivu, mimi ninashauri viongozi ndiyo muwe watulivu ili mfanye mambo kwa utulivu na waledi, kwa sasa hampo sawa kabisa.