Kimsingi,ili mtu achaguliwe combination yeyote anatakiwa awe na points zisizozidi 9 ktk masomo matatu ya hiyo comb!yaan alama C =3,B=2,A=1
so anatakiwa awe na angalau C3 ili atengeneze comb,kwa kesi yako ww huwez kuchaguliwa CBG ila km ukitaka kusoma private schools unaweza kuisoma CBG so long as u have got 3credits!
Govt wanaweza wakakuchagua HKL yaan utakua na DCC kwakua mwaka huu matokeo ni mabaya basi watakuchagua hiyo comb endapo uliichagua!!
Kuhusu kubadilisha ukishafika shule ,hutoruhusiwa kwasababu vigezo na masharti huzingatiwa kabla ya kumruhusu mtu kubadili comb!